Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 30, 2012 #61 Bishanga said: Kwani kongosho hakulala kwa asprin? Click to expand... Alilala...jana hata mi nilikuwa kwa Asprin ila yeye alikuwa chakari akapitiwa na usingizi akiwa sebureni mi nika-take advantage kwa Kongosho coz alinisumbua sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: Kwani kongosho hakulala kwa asprin? Click to expand... Alilala...jana hata mi nilikuwa kwa Asprin ila yeye alikuwa chakari akapitiwa na usingizi akiwa sebureni mi nika-take advantage kwa Kongosho coz alinisumbua sana
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 May 30, 2012 Thread starter #62 Erickb52 said: Hahahahaaa kitu kiwe kipyaaa lol siku hz sisi hatupendi shida hatuna muda wa hizo tunapenda SECOND HAND hazina usumbufu Click to expand... pole weye!hujui utamu wa supu ya pweza
Erickb52 said: Hahahahaaa kitu kiwe kipyaaa lol siku hz sisi hatupendi shida hatuna muda wa hizo tunapenda SECOND HAND hazina usumbufu Click to expand... pole weye!hujui utamu wa supu ya pweza
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 May 30, 2012 Thread starter #63 Bishanga said: Bishanga hadanganyiki......unamtaka weye..... Click to expand... bishanga yaishe tusije tukapata laana wengine,njoo kwangu baadae nikuonyeshe birth certificates
Bishanga said: Bishanga hadanganyiki......unamtaka weye..... Click to expand... bishanga yaishe tusije tukapata laana wengine,njoo kwangu baadae nikuonyeshe birth certificates
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 30, 2012 #64 Kabakabana said: pole weye!hujui utamu wa supu ya pweza Click to expand... Arusha na pweza wapi na wapi
Kabakabana said: pole weye!hujui utamu wa supu ya pweza Click to expand... Arusha na pweza wapi na wapi
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 May 30, 2012 Thread starter #65 Erickb52 said: Arusha na pweza wapi na wapi Click to expand... una hakika nipo arusha?mimi vasco dagama the third.
Erickb52 said: Arusha na pweza wapi na wapi Click to expand... una hakika nipo arusha?mimi vasco dagama the third.