Sweetlady

Orayt nafunga mlango wa choo. Atakayejojoa kitandani kesho hamna kwenda shule. Watoto wa siku hz sijui mkoje. Nawaambieni mkajojoe mlale nyie mnapiga umbea. Afu mnalalamika hesabu ngumu.
 
Hicho kidudu mtu ni Nitonye tu,naona anakutaka kaba,mpe tu kidogo....


Afu Bishanga kila siku huwa nakwambia utasutwa husikii....ona sasa unaumbuka mchana kweupe nitonye ni kakake kaby, iweje tena ageuke kidudu mtu?
 
Last edited by a moderator:
Orayt nafunga mlango wa choo. Atakayejojoa kitandani kesho hamna kwenda shule. Watoto wa siku hz sijui mkoje. Nawaambieni mkajojoe mlale nyie mnapiga umbea. Afu mnalalamika hesabu ngumu.

halafu babu,.. Basi ntakunong'oneza baadae
 
uporoto wa karne nishamsahau.Halafu sio nimeachika nasomea ubikra.

Hahahahaaa kitu kiwe kipyaaa lol siku hz sisi hatupendi shida hatuna muda wa hizo tunapenda SECOND HAND hazina usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…