Sweden: 10,000 New 'Asylum' Claims in One Week...


Mkuu Ishmael, Kuna wakati M/Mungu akilitaka jambo huwa linaanza kwa kuonekana kama ni tatizo au janga.

Jisomee:


chanzo: Muslim Refugees Take Over Former Catholic Church in Syracuse, New York - Dr. Rich Swier
 
Last edited by a moderator:
viroba at work
 
we unaongea nini ---- wewe,utakuta hata feri ya kigamboni hujawahi panda unafkiria kuvuka mediteranian,hujawahi hata kuchinja kuku unawaza kuua watu.usione watu hawaongei ukadhani we mjanja saana.mtu kama wewe mi kwangu ni binti kigori tu,naweza kukuweka ndani na nikakuwowa kila siku na hasira zako hizo mama wee.
 
Hao wakimbizi ni magaidi,wafukuzwe na kurudishwa kwao
 



maxi shimba ndio umekimbia TZ uko Marekani sasa unawachora wenzako hapa JF huko uliko ukiwala wajinga kwa kutumia jina la Yesu

Ole wako!!!
 
Kiongozi, umempa jibu murua kabisa.


HAo viongozi wa CCM wengine familia zao wamezikimbiza Ulaya, Canada , US, Zamani huku wakijifanya ni Waburundi, Wasomali, Waruanda , WaCongo , na wengine ni hawa wanajifanya ni wachungaji fake akina Maxi Shimba
 
HAo viongozi wa CCM wengine familia zao wamezikimbiza Ulaya, Canada , US, Zamani huku wakijifanya ni Waburundi, Wasomali, Waruanda , WaCongo , na wengine ni hawa wanajifanya ni wachungaji fake akina Maxi Shimba

You are out of context and maybe frustrated with life.
 
I am personally familiar what is happening in Upstate New York regrading the Catholic Church. In fact, I converted many Nation of Islam followers to Christianity.

You may need to provide us with proof. But, Alas! Nation of Islam are not refugees in the US. You have completely missed the point. Here is another case.



source: German Church Becomes Mosque "The New Normal
 

Mkuu Ishmael, japo posts zako huwa zimejaa chuki sana dhidi ya waislamu na uislamu ni kwa vile hujajaaliwa kuiona haki, sio kosa lako. Huenda mbele ya safari M/Mungu akakuzindua inshallah.
1. Hebu Waulize wenyeji wako wa kimarekani kilichowawasha kuwashambulia na kuwauwa hawa waarabu ni nini
2. Waulize wazungu wa Ulaya, walipowaunga mkono wamarekani kuwashambulia hawa waarabu walitegemea nini?
3. Wewe usichukie majina yao, wenzako familia zao zimeteketezwa
4. Ni haki ya M/Mungu kuabudiwa, ndie katuumba. Sasa kama mzungu hamtaki Mungu mpaka nyumba za ibada zinafungwa, kinachomzuia Mungu kuleta watu wakamuabudu kwenye majumba hayohayo ni nini? Majumba haya ni yake Mungu.
5. Mkuu Ishmael, nakushauri tulia. Hili wimbi la wakimbizi nahisi ni M/Mungu analeta waumini wapya wayatumie majumba yake mliyo yatupilia mbali. Hiyo ndiyo habari mpya. Ipe hii trend miaka 300, unaweza kuona Mungu kakusudia nini for europe. Ile article ilionyesha almost 4000 churches abandoned/closed in europe alone. Wenyewe twaja, kwa miguu, boti, reli. Wasalaam
 
Let me be clear to all. There is no "haki" in Islam.
1. American did what is fair to arabs. You snooze you lose.
2. Europeans did correctly to help USA. In fact, it is arabs whoa re in need of Europe and not vice versa.
3. Arabic names, they are very funny.
4. Allah is not God and never said in the Quran than he is one.
5. Those are intruders who are tired of Muhammadic culture and religion. If allah knows best, why are they not going to Saudi Arabia?

By the way, there is pork halal nowadays.
 


Deut 23:1 A man whose testicles are crushed or whose penis is cut off may never join the assembly of the Lord
 


You are out of context and maybe frustrated with life.
 
Pity! Tanzania ccm also is seriously in a process of generating millions of refugees!.

Mungu isaidie Tanzania, Mungu Isaidie Africa, Mungu isaidie dunia dhidi ya mitawala mibovu.

Kwa comment hii.... naamini kuwa wewe ni Mkimbizi kama sio kutoka burundi,Rwanda, Congo basi umetoka Kenya kama sio Uganda!! Shukuru mungu mazingira ambayo CCM imekuwekea una kiti na meza kama sio simu ya kiganja unaweza kutuma ujumbe JF....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…