Rod eli Shia
Member
- Aug 4, 2020
- 24
- 10
Je unaweza kuapply udom university ama chuo chochote kwa ngazi ya Diploma kama umemaliza form 4
Form four unataka kuzoea Elimu ya Juu.Je unaweza kuapply udom university ama chuo chochote kwa ngazi ya Diploma kama umemaliza form 4
Sijakuelewa nduguForm four unataka kuzoea Elimu ya Juu.
Ingia vyuo vya katii
Diploma na certificate kuanzia mwaka ujao wa masomo zimefutwa kwa baadhi ya vitivo UdomJe unaweza kuapply udom university ama chuo chochote kwa ngazi ya Diploma kama umemaliza form 4
Diploma na certificate kuanzia mwaka ujao wa masomo zimefutwa kwa baadhi ya vitivo Udom
yeah unawezaJe unaweza kuapply udom university ama chuo chochote kwa ngazi ya Diploma kama umemaliza form 4
Sawa Asanteyeah unaweza
SawaSoma tangazo la UDOM kwenye website yao kama diploma unayotaka ipo basi omba kama una vigezo.