Diraqw Member Joined Aug 10, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Dec 7, 2014 #1 Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona number kike kwenye sm shida...
Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona number kike kwenye sm shida...
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Dec 7, 2014 #2 Samahani kama hutajali.......nakuuliza.......umeshabalehe ile komavu.......au ndio umeanza...........?
Samahani kama hutajali.......nakuuliza.......umeshabalehe ile komavu.......au ndio umeanza...........?