Swali

Wamamoyo1

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Wadau hivi taratibu za mtihani wa kidato cha sita ukoje siku hizi kwa watahiniwa wa kujitegemea?
nataka kurisiti.
nataka kujua ada ya mtihani na mwisho wa kulipia. asanteni.
 
Peleka Jukwaa la Elimu Utapata Majibu Mkuu!!
 
Sio mahala pake kiongozi jaribu chumba kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…