swali

naombeni kuwauliza wadau. Hv ni sehemu gani Morogoro za kugegeda?


Una kiasi gani? Kuna mashamba ya kugegeda miti, mpunga, mahindi na mtama....ni hela yako tu mkuu. Kuna ya kuanzia milioni mbili hadi 100 kwani ardhi ya kugegeda ni kubwa mno.
 
tafuta mtaa wa shauri moyo kuna hotel inaitwa LYAKUCHA hotel ni nzuri sana ni full ac mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…