MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
habarini wanandugu
Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa mumewe haeleweki siku hizi kila akija au yeye akienda (wanaishi mikoa tofauti) usiku lazima mume azime simu zake. Akimwuuliza anadai kuwa zina matatizo ya charge!! Yaani hata akiomba kurushiwa credits mr atawasha, amtumie kisha anazima.
sasa mie alivyoiweka kwangu naona ni kama mr anaavoid kugonganisha magari hewani au nakosea?
Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?
MJ1,
Achana na mambo ya SIMU za mkononi!
Kila wanandoa waweke "policy" zao "re mobile phone usage"
Vinginevyo NDOA nyingi zitadondoka!
Baba Enock leo umeamkia upande gani? Maana nondo unazotoa zimekwenda shule haswa.MJ1,
Achana na mambo ya SIMU za mkononi!
Kila wanandoa waweke "policy" zao "re mobile phone usage"
Vinginevyo NDOA nyingi zitadondoka!
i love thisBora akae kimya tu afumbe macho(afunike kombe mwanaharamu apite?) maana(pengine) anayoweza kuja kuyakuta kwenye hiyo simu yanaweza kuja kuleta maafa kwenye ndoa yake na kuihatarisha kabisa kisha akaanza kujuta kwa nini simu 'iliwashwa' badala ya kuzimwa kama ilivyo ada
X-Pin kujua kama simu iko on au la si lazima uikague bana, huyu shem wangu yeye akifika tu home usiku anazima matokeo yake sasa rafiki zake au ndugu wakiwa wanampigia inabidi wamcal kupitia kwa wife si ndo wife akamwuliza kwa nini kazima simu? Since then ni mwendo mdundoSi umeonae?
Mi bana mke wangu kugusa simu yangu ni STRICTLY PROHIBITED!
Hii yote ni kwa ajili ya kudumisha ndoa yetu!~
Bora akae kimya tu afumbe macho(afunike kombe mwanaharamu apite?) maana(pengine) anayoweza kuja kuyakuta kwenye hiyo simu yanaweza kuja kuleta maafa kwenye ndoa yake na kuihatarisha kabisa kisha akaanza kujuta kwa nini simu 'iliwashwa' badala ya kuzimwa kama ilivyo ada
Hapa si ndipo tunapotakiwa kujua? Ndoa ni ukweli na uaminifu sasa tukikubaliana na hali hii ina maana tunaidhinisha kuwa wenzi wetu ni macheaters and that's how they are so tuchukuliane nao hivyo hivyo?? dunia ya sasa ?dalili zaonesha kunaweza kuwa na tatizo
lakini kuchimba zaidi kunaweza kumpa matatizo zaidi maana ndo atakutana na naked truth humo kwenye simu
Jamaa lazima atakuwa na Kimada huko anakoishi. ukishaona mwenzi wako ana zima zima simu uiwepo baaasi jua unamegewa mali zako.
Jamaa lazima atakuwa na Kimada huko anakoishi. ukishaona mwenzi wako ana zima zima simu uiwepo baaasi jua unamegewa mali zako.
kweli kabisa......
ufukunyuku unaweza ukaleta tatizo kubwa zaidi. akae zake kimya tu!!! she is the wife hao wengine huko watajiju.....
Hapa si ndipo tunapotakiwa kujua? Ndoa ni ukweli na uaminifu sasa tukikubaliana na hali hii ina maana tunaidhinisha kuwa wenzi wetu ni macheaters and that's how they are so tuchukuliane nao hivyo hivyo?? dunia ya sasa ?
Mimi nilifikiri kuwa mtu unatakiwa kuwa makini mara tu unapoanza kuhisi dalili zisinzo nzuri kwa mwenzi wako?
mimi nimemwambia ni dalili ya kucheatiwa so awe makini lakini kwa ushauri wenu naona nimetokota!!
Sasa my dear akishajua si ndio vita inaanza?? labda sijui amuulize kwa style gani...Hapa si ndipo tunapotakiwa kujua? Ndoa ni ukweli na uaminifu sasa tukikubaliana na hali hii ina maana tunaidhinisha kuwa wenzi wetu ni macheaters and that's how they are so tuchukuliane nao hivyo hivyo?? dunia ya sasa ?