Hii ni kwa sisi tulioshi kidogo maeneo yenye vichaka,hivi ni kwa nini mtu unapoingia kujisaidia haja kubwa kichakani,lazima ugeuke ulikotoka na kuchuchumaa kwa zoezi hilo,na kwa haja ndogo haugeuki unaangalia hukohuko.
Sababu ni kuwa lazima upige riverse ndo umwage mzigo ili iwe rahisi kuondoka ukimaliza kumwaga,kwa haja ndogo ni kwa kuwa unakuwa umesimama,naongelea wanaume for ladies sijui.