Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha wanafunzi wake kusali Kwa hiyo kwamba,
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni 🙏
U mmoja wa wanaoamini uwepo wa Mungu lakini hawaamini BIBLIA?Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Katiba ya wana Mungu si Biblia, kuna watu wanaamini Mungu yupo lakini hawaamini Biblia.
Sitaki kuamini, nataka kujua.U mmoja wa wanaoamini uwepo wa Mungu lakini hawaamini BIBLIA?
Huwezi kujua pasi kuamini.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Kama Nchi ilivyo halisi, Mbingu ni halisi pia.Hakuna sehemu nyingine yenye uhai ila duniani? Mbinguni ni dhana tu!
Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.Huwezi kujua pasi kuamini.
Na ikiwa huamini uwepo wa Mungu, Si Rahisi kujuthibitishia, huko ni kuvuka hatua muhimu.
Njia Rahisi ni kutafuta, ukimkosa njoo hatua inayofuata.
Ili nikuthibitishie uwepo wa Mungu,Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Nikishaamini hakuna haja ya kuthibitisha.Ili nikuthibitishie uwepo wa Mungu,
Hatua ya kwanza ni kutaka kujua ikiwa Unaamini uwepo wake au la!
Do you believe?
Sasa ikiwa hutaki kuamini uwepo wa Mungu,Nikishaamini hakuna haja ya kuthibitisha.
Kuamini ni kukubali bila uthibitisho, sasa nikiamini uthibitisho wa nini?
Na nikishaamini, nishajiwekea bias ya kukubali hata uthibitisho wa uongo ili u fit kwenye imani yangu.
Sitaki kuamini.
Thibitisha kuna Mungu, thibitisha kuna mbingu.
Labda na mimi nikuulize ni kalenda ipi na iliyo vumbiliwa nyakati zipi maana hii ya sasa mnayo tumia ni gregorian ya papa gregory moaka ya 1500s, sasa ni ipi inayo wadhihirishia kuwa siku ya sabato ni jumamosi ?na ndiyo siku iliyo tambuliwa na kutajwa na biblia.!? Unapo jibu ukumbuke kuwa mzunguko wa siku 7 za wiki ulivumbuliwa na nani na umeanza kutumiwa lini na kabla ya nyakati hizo usabato uliabudu siku gani?Salaam, Shalom!
Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba;
(Mathayo 6:10)
"Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni "
Swali no 2:
Ni mapenzi ya Mungu kusherehekea Christmas tarehe 25 December tarehe hiyo hiyo pakiwa na sherehe hizo hizo Mbinguni?
Na msingi wa SWALI hili ujibiwe kupitia Katiba yetu Wana wa Mungu iitwayo BIBLIA.
Karibuni 🙏
NENO la Mungu limethibitishwa kuwa Kweli na halihitaji msaada wa mapokeo ya WANADAMU.Una point kubwa sana Ila jiulize
Ni nani aliyekusanya, kuichambua na kuipangilia biblia?....
Je, vitabu vilivyojumuishwa katika biblia ndivyo pekee vilikuwepo na je, kama sivyo pekee, hivyo vilivyobakia ni useless??.. Na kama sio useless wewe binafsi una access na hivyo vitabu
Kingine, una uhakika Roman Catholic Church inatumia Biblia pekee kufanya maamuzi yake??... Vipi kuhusu mapokeo ya kihistoria ambayo pengine kwenykwenye biblia hayakujumuishwa mfano, historia ya mama na baba wa Bikra Mariamu lakini pia historia yake ya kipekee hadi kuwa mwanamke mbarikiwa ambaye kupitia yeye agano jipya likafunguliwa..
Je, una elimu sahihi?....
Siipingi Biblia lakini Je, Biblia ni alfa na Omega wa taarifa, maarifa na mapokeo ya kihistoria ya ukristu duniani?...
Kuthibitisha ni lazima pale tunapotaka kuhakiki ukweli.Sasa ikiwa hutaki kuamini uwepo wa Mungu,
Usilazimishe nikuthibitishie uwepo wa Mungu Kwa Mimi niaminiye, niliye na HAKIKA juu ya uwepo wake.
Nakushauri mtafute katika huko kutoamini kwake, ukimkosa ndipo uje uniulize uthibitisho baada ya kuamini.
Mjue sana Mungu, uwe na Amani.Wacha janjajanja tafuta hela pikia watoto pilau wale😂
Narudia,Kuthibitisha ni lazima pale tunapotaka kuhakiki ukweli.
Ila, una haki ya kuamini unavyotaka, ikiwa huweki madai kuwa unachoamini ni kitu cha ukweli.
Unaruhusiwa kuamini Mungu yupo, hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.
Ila, ukisema hiyo si imani yako tu, ni kweli Mungu yupo, hapo unahitajika kuthibitisha Mungu yupo.
Sasa wewe unasema unaamini tu Mungu yupo, lakini hujatoa madai kuwa Mungu yupo kweli?
Au unasema Mungu yupo kweli, si jambo la imani yako tu?