swali:mahandaki ya kilimanjaro?

swali:mahandaki ya kilimanjaro?

mao huu

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
6
Reaction score
0
samahani wakuu,mahandaki yaliyopo kilimanjaro yalijengwa na watu gani na ni lini?
 
Yalijengwa na,watu wa maeneo hayo kipindi cha vita kama maeneo ya kijificha....
 
Hv huwezi hata ukiza hao wakazi wa karibu wakuambie kwamba ndani ya miaka yao (1890-1922) ya mjeruman aliweka reli imara ,mahandaki ya mapumziko,kivita.barabara za miliman za kwenye miamba migumu-lushoto na neno lako hili SHULE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom