Swali linalokera

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,895
Reaction score
2,806
Unakuta unatoka na msichana then siku mnatakiwa kuonana ikatokea umepata dharura home unamueleza halafu anakuuliza hivi mimi na hao nani ana umuhimu? Kwakweli hili swali silipendi paka basi.
 
Tatizo liko wapi? Wee mpe tuu jibu kwamba "home kuna umuhimu sana kuliko wewe".
 
kweli aisee
wanawake wanapenda uwajali wao kuliko kitu chochote au mtu yoyote kuonyesha kua yeye ndo ana umuhimu.
me nina experience sana na hili.
nilikua na mpenzi juzi kati tu birthday yake nikamwambia zawadi yako ninayo bt mazingira ya anapokaa siwezi kwenda nayo kama vp anicheki mida flani kwanzia asubuh hadi mchana ndo ntakua free hakunicheki next day nkamwambia tukutane muda flani muda huo nikapata dharura kumwambia kanuna hataki tena tuwasiliane. nimemuacha najua tu atarudi analia
 
Unakuta unatoka na msichana then siku mnatakiwa kuonana ikatokea umepata dharura home unamueleza alafu anakuuliza ivi mimi na hao nani anaumuhim? Kwekwali hili swali silipendi paka basi.

Wkdklpo[gf] [fl'\fv
sls;sal]s
dlf]f][
,.glogklglgp plgogogoplg pogiog[p]r]repo oirkitrkugingolg ofpfpfl.gfp[[f[p[lok.
 
Ndio kama unataka uweze kumzuia unavotaka ungemuoa
 
pole, umuelimishe umuhimu wa matatizo ....
 
Pole sana,ishini na wanawake kwa akili sana.
 
Pole sana,ishini na wanawake kwa akili sana.
 
Wkdklpo[gf] [fl'\fv
sls;sal]s
dlf]f][
,.glogklglgp plgogogoplg pogiog[p]r]repo oirkitrkugingolg ofpfpfl.gfp[[f[p[lok.

Vp mwenzetu umekosa kaz ya kufanya au!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…