Swali letu la kipima joto

vipi tena.... wataka dushe uwe unapewa hela au kazi dushe kwa jiran

Kazi kwanza niweke heshima daaa dushe ntalisaka kokote nkishakuwa na kazi yanguu aaaaaggh pesa ninayo nitake nini tena kama sio kukufuru .....
Ujue Mungu ni mwema kila wakati hahahaaaaa atanipatia tu
 
Kazi kwanza niweke heshima daaa dushe ntalisaka kokote nkishakuwa na kazi yanguu aaaaaggh pesa ninayo nitake nini tena kama sio kukufuru .....
Ujue Mungu ni mwema kila wakati hahahaaaaa atanipatia tu

sa na we unataka ule kwa jasho, tulia kidume kinakuangaikia sa hizi.... we endelea kuongeza utamu na manjonjo watu waje
 
Bora kuwa na kazi, ndoa si lazima sana,mana sijackia mtu amekosa ufalme wa mbingu kwa kukosa ndoa,hapo kwa kibamia napita tu sina uzoef wa size ya hivyo vitu
 
big ameeen
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…