DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,979
- 11,816
Unatoa mifano ya mbaaaaaaaaali wakati ya karibu ipoTunaambiwa pale England Manchester United imebeba Kombe x20, hapa Tanzania Yanga wanalo x29. Ukienda Uganda SC Villa wamebeba mara kadhaa hata pale Israel kuna Macabi Haifa wababe wa soka la nchi hiyo.
Tunaambiwa utaratibu timu ikichukua mara 3 mfululizo kama ilivyofanya Man City juzi ndo inapewa Kombe moja Kwa moja na kama siyo mara ya Tatu inatakiwa kulirudisha siku kadhaa kabla bingwa mpya hajakabidhiwa.
Swali langu ni kwamba yenyewe inabaki na kumbukumbu gani ya Hilo Kombe kwenye kabati zake?
Kuuliza si ujinga?
SIMBA SC KABEBA MARA NNE MFULULIZO,LIPO LIMETULIA TULIIIIIIIIIIIII