CHIMBULI WA CHIMBULI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 468
- 160
Kwa nini Imani za dini kubwa Duniani zinachimbuka kutoka Mashariki ya kati, yaani nchi za Iraq, Syria, Israel, Saud Arabia n.k lakini mauaji mengi pia yasiyo na hatia yanatoka huko? What is the source? Mitume na manabii wengi pia asili yao ni ASIA kwa WAKRISTO NA WAISILAM. Kwanini watu hao hao ambao ni Asili ya imani za Dunia ndio chanzo cha Uhasama na mauaji mengi pasi Kuogopa Nguvu ya Mungu?