swali la leo

swali la leo

Ni wanasiasa gani wanaojua kuropoka bila sababu
(taja watano5)

Kikwete (baba yao)
Makinda (mama yao)
Nape (Kijana wao mkubwa)
Lukuvi (Mjomba wao)
Selina Kombani (Kiherehere / mama mdogo wao)
Kwa ujumla CCM wengi ni waropokaji tu!
 
Kikwete (baba yao)
Makinda (mama yao)
Nape (Kijana wao mkubwa)
Lukuvi (Mjomba wao)
Selina Kombani (Kiherehere / mama mdogo wao)
Kwa ujumla CCM wengi ni waropokaji tu!
kwenye red hapo mwite mchaluko
 
Back
Top Bottom