Swali la kizushi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,370
Kwa mfano kwenye ligi ikatokea mpaka siku ya fainali wafungaji wawili wanaoongoza kwa ufungaji na magoli yao yamelingana,tuseme kila mtu ana magoli 10,sasa kwenye mechi ya fainali kati ya wale wachezaji wanaoongoza magoli moja akajifunga bahati nbaya...kwahiyo tuzo ya mfungaji bora apewe nani???maana alijifunga kaongeza goli
 
Mfungaji bora anahesabiwa magoli aliyofunga na siyo aliyojifunga.
 
Mfungaji bora anahesabiwa magoli aliyofunga na siyo aliyojifunga.
sawa ila hata hivo yule aliyejifunga goli lake la kujifunga ikiondolewa bado magoli ni 10,so bado wanalingana,nani atapewa hapo ufungaji bora?
 
sawa ila hata hivo yule aliyejifunga goli lake la kujifunga ikiondolewa bado magoli ni 10,so bado wanalingana,nani atapewa hapo ufungaji bora?

Kwa mujibu wa sheria za FIFA world cup, ikiwa kuna zaidi ya mchezaji mmoja wanaolingana kwa magoli ya kufunga basi atahesabiwa yule aliyesaidia (assist) zaidi katika magoli mengine, na ikitokea kama na hiyo iko sawa basi wanatazama ni yupi aliyecheza kwa muda mfupi zaidi kati ya hao wafungaji bora walioshikana kwa magoli na usaidizi.
 
thanks hapo nimeelewa
 
Well said broda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…