SWALI LA KIZUSHI PART ii

Ingekuwa mm nakwepa kumjibu kwa kumzuga kuwa asizungumzie mambo ya kifo kwani sio mazuri.

Nakupa 8/10. Umejibu vizuri. Jibu la hapa halihitaji uwe muhandisi na wala sikutaka watu wajibu straight. Jibu sahihi ni kuwa mkipendana hakuna option. Kama unajibu kuwa utaoa mwingine huoni kama ni kumtakia afe upate mrembo wingine??. Jibu sahihi halipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…