Wakati anafuatwa na mtu alisema ninaye mtu ambaye ndiyo wewe.Kumbe wewe nawe hukuwa na malengo nae ndiyo umempotezea muda angejaribu kwengine labda angejenga uhusiano wa kudumu.
Katika wapendanao kuna kipindi mahusiano hukatika kwa njia mbalimbali kwa kuachana au kugombana hadi mmoja wao kulalamika kuwa amepotezewa muda na hili hasahasa wanawake ndo huwa na malalamiko kuwa mwenzie kampotezea muda swali ni je?ungekuwa haupo kwenye hayo mahusiano huo mda unaosema umepotezewa ungelikuwa umefanya nini?
Apige tu-pushapu,abinuke sarakasi,acheze wushu,apige vigelegele lakini mwisho "ATUBU"!
anapozunguzwa mwanamke ni mwanamke tu,haijalishi mama,dada au shangazi!Hivi nyie mnaotuita wadudu au nusu akili na mama zenu huwa mnawaona hivyo hivyo.kwamba ni wadudu na pia hawana akili?