Swali kwenu wadau wa ufugaji.

quasar

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
5
Reaction score
1
Wadau nina swali, hv wafugaji kuku wa mayai (layers) wanaanza kurudisha gharama za tangu mwanzo, baada ya muda gan?
 
Wakishaanza kutaga Mayai ndio hela inaanza kurudi na faida Juu. Ila unatakiwa kuwa makini sana muda huu uwape chanjo zote, wale vizuri Sana.
 
nifollow whtsap 0679365635 nikusaidie
kwa nn mnapenda kuhamisha ajenda za humu mala pm mala whatsaap kwa nn usitoe shule apa ulipo ukuta uzi na wengine wafaidike afu wewe

Jumaa gosso wewe ni mnafiki kichizi na nime kumaind sana juzi ume nipigia cm unataka ushaur kwaajir ya ufugaji wa kuku na ukadai hujui kitu na huja wahi kufuga sio poa koo uli kuja kuni pima au? huo ni ujinga tena huna tofauti na mchawi wewe
 
povu la nn broo ninagroup la whtsaap kuhusu mambo ya ufugaji kwahiyo ndo maana nimemwambia anifollow ili nikuadd [emoji125] [emoji125]
 
Miezi sita Sio wanarudisha hela laa hasha Bali wanaanza kutaga
 
Nami naomba uni add mkuu kwa group la ufugaji
0744625461
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…