[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wenye sura mbovu hungangania ndoa halafu mara moja kushika mimba, wazuri hawaitaki ndoa haraka wanaona watazeeka haraka. Acha sisi tuwale wewe endelea kuowa hao vitunguu swaumu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Chief mangungooooz ! Duuuh!Tunakwamishana aisee ///wanadhani uzuri wa sira ni kigezo tosha cha me kuingia kwenye mkataba wa chief Mangungo of Msovero
Wapo kwa ajili ya kuliwa tuuHao wazuri warembo ni wasumbufu kwenye ndoa ..bro utaumia ni kama wanajivunia uzuri wao ..
Wanachagua mno wakati mwingine kuringa na kujiskiaEeebanae!
Ni ukweli usiopingika, wanawake warembo, wengi wao wanapigwa na kuachwa tuu, au wanazalishwa na kuishia kua masingo mother.
Hii ni kwanini? Utakuta mtu anaoa mwanamke mpaka unajiuliza huyu mwamba kampendea nini huyu mwanamke? Mbona Wa kawaida Sana?! Aseee! Mademu wabaya ndio wanaoongoza kwa kuolewa huwez amini.
Nyie wadada Wazuri mnakwama wapi?! Wengiwenu mnazeekea makwenu tuu baada ya kuzalishwa aseee!
Sijui wanakwama wapi hawa watu.
Au ndio mmeumbwa kwa ajili ya kutafunwa tuu?! Au labda mmezaliwa ili muwe michepuko?
Duuh! Mnatia huruma Sana.
Sure pia hao ni chakula cha woteWanachagua mno wakati mwingine kuringa na kujiskia
AseeeeKuoa mwanamke mzuri ni sawa na kutembea na cheni za dhahabu shingoni usiku mitaa ya mwananyamala
Ni kweli mkuuSababu ya sura zao matarajio yao yanakuwa makubwa sana kuwapata wenzi wenye mafanikio tayari.Mwisho wa siku wa siku wanaishiwa kudanganywa na kuachika.Hakuna mwanaume anayependa kuishi ni mwanamke ambaye ni headache!
Sio wanaojirembaHao ni wazuri au wanaojiremba.
Wazuri wote wameolewa
[emoji19][emoji19]Sure pia hao ni chakula cha wote
Ngoja tuwale tuu na kuwaachaUzuri wao huwaponza kwa kiasi kikubwa.
Hujiona wako marketable kwa watu wengi.
Ndiyo maana mtu akiwa nao anakuwa nao kwa akili kubwa kwa sababu anajua muda wowote anakwenda. Hivyo hujikuta wanatumika tu na kujikuta wanakuja kuolewa na watu wa kawaida sana. View attachment 1160165
AseeeeHao wazuri warembo ni wasumbufu kwenye ndoa ..bro utaumia ni kama wanajivunia uzuri wao ..