comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,545
- 17,581
Rudisha avater yanguWanakwama wapi au nyie ndio mmeamua kuwakwamisha???
Nimependa swali lako, ukijibiwa unitagWanakwama wapi au nyie ndio mmeamua kuwakwamisha???
Lol😂haya sweetheart...Rudisha avater yangu
Lazima nikuite somo yanguNimependa swali lako, ukijibiwa unitag
Haha asante; hujawahi kuwa msumbufuLol😂haya sweetheart...
Usumbufu kwangu mwiko😉Haha asante; hujawahi kuwa msumbufu
Haha hata Mimi niniona dalili za kutopangiwa ratibaUsumbufu kwangu mwiko😉
Hivi kumbe upoUnaongelea wanawake Wazuri au Warembo?
Wanaume karibu wote wanatamani sana kuoa wanawake wazuri hata kama si warembo. Hasa wazuri wa mioyo.
Kwa bahati mbaya tu wengi wanakutana na warembo na wanaishia nao njiani kwasababu wanajua hata wakiwaoa ni mtihani.
Wao ndio wanakwama, wanashindwa kutu impressWanakwama wapi au nyie ndio mmeamua kuwakwamisha???
AseeeeBeauty with brains wagumu sana kupatikana, wapo beauty with butts ambao kwa vijana makini tunawaona ni disposable tu.
Hahaha,.huwezi pangiwa aseeHaha hata Mimi niniona dalili za kutopangiwa ratiba
Sio kweli, wazuri unakuta washatoa mimba za kutoshaTatizo wenye sura mbovu hungangania ndoa halafu mara moja kushika mimba, wazuri hawaitaki ndoa haraka wanaona watazeeka haraka. Acha sisi tuwale wewe endelea kuowa hao vitunguu swaumu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa hiyo mnakuwa mmelazimishwaTatizo wenye sura mbovu hungangania ndoa halafu mara moja kushika mimba, wazuri hawaitaki ndoa haraka wanaona watazeeka haraka. Acha sisi tuwale wewe endelea kuowa hao vitunguu swaumu.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tunakwamishana aisee ///wanadhani uzuri wa sira ni kigezo tosha cha me kuingia kwenye mkataba wa chief Mangungo of MsoveroWanakwama wapi au nyie ndio mmeamua kuwakwamisha???