kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,303 Reaction score 17,579 Jun 29, 2017 #1 Swali: Kama kungekuwepo na sikukuu maalum kila mwaka ambayo wapenzi mke na mume wangeruhusiwa kuamua ama kubadilisha au kuendelea na wapenzi wao ni nani zaidi kati ya wanaume na wanawake ambao wasingepanda kuwarudia wapenzi wao walewale? Kwanini?
Swali: Kama kungekuwepo na sikukuu maalum kila mwaka ambayo wapenzi mke na mume wangeruhusiwa kuamua ama kubadilisha au kuendelea na wapenzi wao ni nani zaidi kati ya wanaume na wanawake ambao wasingepanda kuwarudia wapenzi wao walewale? Kwanini?
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Jun 29, 2017 #2 Itatokana na maamuzi ya muhusika.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jun 29, 2017 #3 Wanaume kwa sababu tuna tabia ya kupenda wanawake wengi..si unajua sometimes haturidhiki
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Jun 29, 2017 #4 Ya dunia ni mengi sana.
STUNTER JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 13,077 Reaction score 17,267 Jun 29, 2017 #5 Wanawake wengi wangekuwa single..
CHE Raptino JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 1,027 Reaction score 1,068 Jun 29, 2017 #6 Ningeongeza idadi badala ya mmoja ningehitaji wawili na kuendelea