hapa hotel nzima kuna wafanyakazi wapo permanet 260 na casual 160 lakini sisi call centre tuna rotate,maana kwa shift 12 kwa hiyo bwana fadhili nilambe movie au sio?
Wewe mtu,tayari ulishakuwa umeonesha kuelewa somo,ila naona tena unarudi kulu kule mwanzo.
Ushauri wangu ni kwamba naamini wewe ni mtu mzima,unaweza kupima uzito kati ya kupoteza kazi na kuacha kudownload hizo movies.Mkuu
Kijuso,kumbuka the more you use an internet the more you become addicted to it.
Matumizi ya internert ni kama kufanya mapenzi,kwa jinsi unavyozidi kujihusisha ktk mapenzi ndivyo na hamu ya kufanya mapenzi inavyozidi.Kwa sasa unadownload usiku kwa kuibiaibia,ila kitafika kipindi utajikuta unakdownload hadi mchana,believe me!Inernet ina addiction mbaya hata kuliko drugs,usifanye mchezo ndugu yangu.
Sasa cha kufanya,nunua modem(najua huwezikosa 30,000-40,000/-ukiamua kujipanga) kisha jiunge na wajanja night ya voda.Kwanza utakuwa huru,pili haitaingiliana na ratiba zako maana utakuwa unatumia usiku kama ulivyozoea.Si lazima kukunua PC yako,maana utakuwa unatumia hizo hizo za kazini.
Vinginevyo,naona kabisa ukichezea kibarua chako kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika kirahisi tu.Mkuu vipo vya kuchezea,ila sio kazi ndugu yangu.