Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,890 Jan 20, 2024 #1 Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,418 Reaction score 103,896 Jan 20, 2024 #2 Punguza upumbavu kijana.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,802 Jan 20, 2024 #3 The Icebreaker said: Punguza upumbavu kijana. Click to expand... 😂😂😂
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,447 Jan 20, 2024 #4 Joanah said: 😂😂😂 Click to expand... Mpe jibu mlevi mwenzetu.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,802 Jan 20, 2024 #5 Troublemaker said: Mpe jibu mlevi mwenzetu. Click to expand... Mie na pombe wapi na wapi? Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote
Troublemaker said: Mpe jibu mlevi mwenzetu. Click to expand... Mie na pombe wapi na wapi? Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,719 Jan 20, 2024 #6 Lengo la kwenda Bar sio Pombe peke yake! Maana kama ni Pombe hata nyumbani tunaweza kulewea... tunatafuta magoma na Vibe!
Lengo la kwenda Bar sio Pombe peke yake! Maana kama ni Pombe hata nyumbani tunaweza kulewea... tunatafuta magoma na Vibe!
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 6,199 Reaction score 15,952 Jan 20, 2024 #7 Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Sina jibu la direct lakn nahisi ni kampani tu na vibes,,,, ! Kula/kunywa sehemu moja tu unazoeleka hovyo na watu/wahusika wa hapo unapoenda daily! Pia kubadili mazingira n.k ! Kwa wazee wa Totoz wanakuambia kuwa wanaenda kuosha macho ,,,, Hushangai chimbo jipya huwa linajaza sana ? Hizo sababu hapo juu zinatanabaisha
Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Sina jibu la direct lakn nahisi ni kampani tu na vibes,,,, ! Kula/kunywa sehemu moja tu unazoeleka hovyo na watu/wahusika wa hapo unapoenda daily! Pia kubadili mazingira n.k ! Kwa wazee wa Totoz wanakuambia kuwa wanaenda kuosha macho ,,,, Hushangai chimbo jipya huwa linajaza sana ? Hizo sababu hapo juu zinatanabaisha
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,375 Reaction score 37,201 Jan 20, 2024 #8 Kuna wanywaji na walevi Mimi na prefer wanywaji nachukia walevi 😊😊😅😅
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,975 Reaction score 25,292 Jan 20, 2024 #9 Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Kila mywaji ni KACHERO
Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Kila mywaji ni KACHERO
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,477 Reaction score 22,690 Jan 20, 2024 #10 Warembo kaka , na vibe la sehemu mpya asikudanganye mtu bar yenye warembo wakali nitawatembelea daily mpaka mnichoke nyie Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Warembo kaka , na vibe la sehemu mpya asikudanganye mtu bar yenye warembo wakali nitawatembelea daily mpaka mnichoke nyie Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,766 Jan 20, 2024 #11 Mgibeon said: Lengo kwa kwenda Bar sio Pombe peke yake! Maana kama ni Pombe hata nyumbani tunaweza kulewea... tunatafuta magoma na Vibe! Click to expand... Full stop
Mgibeon said: Lengo kwa kwenda Bar sio Pombe peke yake! Maana kama ni Pombe hata nyumbani tunaweza kulewea... tunatafuta magoma na Vibe! Click to expand... Full stop
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,766 Jan 20, 2024 #12 Dr am 4 real PhD said: Kuna wanywaji na walevi Mimi na prefer wanywaji nachukia walevi Click to expand... Mimi ni mnywaji
Dr am 4 real PhD said: Kuna wanywaji na walevi Mimi na prefer wanywaji nachukia walevi Click to expand... Mimi ni mnywaji
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,375 Reaction score 37,201 Jan 20, 2024 #13 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Warembo kaka , na vibe la sehemu mpya asikudanganye mtu bar yenye warembo wakali nitawatembelea daily mpaka mnichoke nyie Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app Click to expand... Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Warembo kaka , na vibe la sehemu mpya asikudanganye mtu bar yenye warembo wakali nitawatembelea daily mpaka mnichoke nyie Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app Click to expand... Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,462 Jan 20, 2024 #14 Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Madeni! Mnywa pombe lazima ukope pombe kadhaa! Sasa ukipata hela alafu eti unaenda kulipa deni daaah!!!??? Bora uamie Baa nyingine uweke heshima
Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Madeni! Mnywa pombe lazima ukope pombe kadhaa! Sasa ukipata hela alafu eti unaenda kulipa deni daaah!!!??? Bora uamie Baa nyingine uweke heshima
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 3,120 Reaction score 6,787 Jan 20, 2024 #15 Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa
Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,003 Jan 20, 2024 #16 Utalii wa ndani
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,935 Reaction score 27,196 Jan 20, 2024 #17 Dr am 4 real PhD said: Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar Click to expand... Mkuu mwanamke yoyote anaweza kuwa malaya haijalishi mazingira yake ya kazi. Umalaya ni hulka ya mtu sio kazi yake
Dr am 4 real PhD said: Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar Click to expand... Mkuu mwanamke yoyote anaweza kuwa malaya haijalishi mazingira yake ya kazi. Umalaya ni hulka ya mtu sio kazi yake
kapyoko JF-Expert Member Joined May 10, 2022 Posts 1,420 Reaction score 2,191 Jan 20, 2024 #18 David Harvey said: Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa Click to expand... Ila ukilewa unatoka kwenda sebuleni ukiwa unayumba kinoma
David Harvey said: Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa Click to expand... Ila ukilewa unatoka kwenda sebuleni ukiwa unayumba kinoma
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,477 Reaction score 22,690 Jan 20, 2024 #19 Dr am 4 real PhD said: Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar Click to expand... Kiukweli mimi ni kuwaangalia na aliyenena zaidi basi anapitishwa rasmi kunichungulia Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dr am 4 real PhD said: Lengo nikuona warembo au kuchakata mbususu za ma barmaid ni ujasir sana kupiga paipu Malaya wa bar Click to expand... Kiukweli mimi ni kuwaangalia na aliyenena zaidi basi anapitishwa rasmi kunichungulia Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,537 Reaction score 21,856 Jan 20, 2024 #20 Mpaka nihame bar labda wawe wameleta ma barmaid wasioeleweka + huduma mbovu, ila kiduka cha mangi cha kitaa huwa sihami.
Mpaka nihame bar labda wawe wameleta ma barmaid wasioeleweka + huduma mbovu, ila kiduka cha mangi cha kitaa huwa sihami.