Swali kwa wanawake tu!

Kama ni short time awe mwanaume

For future awe na hofu ya Mungu...
Pili act as matured man.ajue responsibility zake, decision making for familiy,
 

thread klozd. Na mimi kama wewe. Loh!
 

Duh siku hizi noma kuna wa mda mrefu na mfupi,wote unakuwa nao kwa wakati mmoja dual relationship?
 

Anafaa kwa matumizi ya binadAmu :what: tfda na tbs wanajua:what:
 
lol, usinipe raha mie. nyuma yangu iko mbali sana huwezi kuiona wewe

Miwatamu

Yesterday 09:04
#6
​
JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 2nd October 2012
Posts : 1,310
Rep Power : 642
Likes Received427
Likes Given125​


[h=2]
[/h]


Afu mie sio kijana bwana, hebu nipishe kule
Unatisha kijana, yaonekana sasa umeanza kujitambua tofauti na huko nyuma! big up. HAYA TUENDELEZE MADA.

unachelewa sana kujistua wewe. utakuja kuchelewa kwa mola, shauri yako
well, kumbe....

hahaha ahsante dada, partner in crime. huyu ana bahati sivuti wakati mvua inanyesha
Wewe ni intake ya 2012, Yeye since 2009.

Just wondering.

mmh, hata sijui nikujibu aje best. nyuma ipi bwana? mi najua kupenga kamasi toka sijaanza skuli!
Kumbe King'asti ni kijana na huko nyuma hakuwa akijitambua?
 

Ndo na wewe unatafuta mwenye vgezo kama hv au ww wataka vp manake we a dfa
 
Awe mtu anajituma kwa kila kitu,
awe mwanamke mcha Mungu mwenye mapendo ya dhati
awe mtu mwenye utii, uaminifu na unyenyekevu
awe mwanamke mwenye subira kwa mambo ambayo bado hayajafanyika uchunguzi
na mengineyo yote
 
Je, ni vigezo vipi unavyosimamia wewe au unavyovyotaka awe navyo mwanaume pindi unapotaka kuingia kwenye mahusiano na mpenzi wako mpya?

Asiwe na tabia ya kuchepuka siwezi kuvumilia nina wivu sana,mcha Mungu,anijali,asivute bangi wala sigara(harufu inaniumiza sana kichwa),asiwe mweenda gym pia,handsome,awe na wivu kama mimi,mweusi lakini asipitilize,Yani vingi kwakweli siwezi kumaliza leo. Thanks
 
Awe mtu anajituma kwa kila kitu,
awe mwanamke mcha Mungu mwenye mapendo ya dhati
awe mtu mwenye utii, uaminifu na unyenyekevu
awe mwanamke mwenye subira kwa mambo ambayo bado hayajafanyika uchunguzi
na mengineyo yote
..hivi vigezo unavyo bi'mdogo??
 
Sisi tunasoma tu...nisipoelewa sijui nimtafute nani anieleweshe vizuri!
 
Mwanaume wa kweli mwenye msimamo na mwenye hofu ya Mungu
 
mmh, hata sijui nikujibu aje best. nyuma ipi bwana? mi najua kupenga kamasi toka sijaanza skuli!

Mmmh...mimi mwenyewe hata sijui azungumzia nyuma ipi huyu "sweet sugarcane", labda nyuma ya kabati...
 
Kwanza awe na pesa,2 awe mkarimu yani ajue maana ya kupenda,3,awe mweusi mrefu au kama siyo mrefu awe wastan asiwe mfupi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…