Swali kwa wanaume

Hisia huanzia akilini, dada ako ni kama mama ako unawezaje kumtamani, lazima utakua mwehu, kwanza hivi itasimamaje lazima utakua na mipepo ya ngono tu.
 
Akili zina tofauti gani hapo dada? Ina maana wanawake huwa hamtamani? Kwani hujawahi kusikia mwanamke kabaka, unasemaje kuhusu hilo, sio tamaa ya ngono? Mimi kwa mtizamo wangu naweza kusema kwamba katika mazingira ya kawaida haipendezi mtu kulala na dada/kaka yake chumba kimoja, na kama hali hii itakuwa ni mazoea(kama ilivyokuwa kwa rafiliyako) wala sitasita kuhisi kwamba watu hao wanatingana kwa sababu nimewahi kushuhudia mahusiano ya namna hii ambapo mtu na dada/kaka yake wanakuwa marafiki wa kimapenzi.
 

Kama we ni mzinzi ndo yatakuwa mawazo yako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…