do youhave brothers?Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
babaeleze,hakuna kiumbe dhaifu kama mwanaume,aki switch on kichwa cha chini cha juu huwa kina log off automatically,wenzetu bahati yao wameumbwa na kichwa kimoja ndo mana yanayoongelewa hapa kwao ni incomprehensible.Father n daughter very common,Mother and son very rare,tafakari.gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"
Mie sio mwanaume lakini naweza kulala chumba kimoja na kakangu. Hata jua lishuke na mwezi na nyota sio mie wala kakangu ambae anaweza kumtamani mwenzie! Ni laana!
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
skiliza PetCash nikwambie lazima iwepo tofauti kati ya binadamu na manyani ama wanyama the man is making money, na pia anaangalia ku maximize profit istoshe hafanyi naye analala tu why should you be bothered? hivi kama huwez lala na dada yako utaweza kweli na shemeji yako wa kike rum moja? lazima tujifunze nidhamu bana
Kwani kaka yako kafanya nini aisee?King'asti asante kwa jibu mpenzi wangu ila napenda kusikia majibu ya kaka zetu.Mimi pia naweza kulala na kakangu na nisihisi kitu ila labda iwe hakuna jinsi maana mimi ningempa hela alale hotel au ningelala kwa rafiki hadi aondoke
Dah! Umeongea kwa uchungu sana.
Suala hapa sio uwezekano wa kulala chumba kimoja au hata kitanda kimoja na dada yangu. Tuangalie circumstances zinazotufanya tulale chumba kimoja. Is it absolutely necessary?
Kama ni lazima kabisa kulala na dada yangu chumba kimoja naweza kulala. Lakini kama sio lazima kwa nini nifanye hivyo?
Siwezi kumtamani dada yangu kimahaba lakini ile heshima ndio tunayolinda. Ni sawa na kulala na Mama mzazi au Mama mkwe chumba kimoja nikiwa mtu mzima tayari je ni sawa ili mradi nisimtamani? Heshima itakuwa wapi hapo? Let us get back to our senses!
Kwa nini liwe jambo la kawaida mtu kulala na dada yake chumba kimoja? Chupi ataanika wapi? Akiwa mwezini je? Asubiri niondoke ajitengeneze? Huyo jamaa siwezi kumtetea kabisa. In short hafai kuwa mchumba wa mtu!
Wakuu naona the issue is debatable as some of us tunaona ni okay na wengine wanaona ni weird.Mimi Kama dada najua tayari kuwa siwezi kufanya lolote ikitpkea kuwa ni lazima nilale chumba kimoja na kakangu ila siwezi kujua kakangu na yeye anaweza kulala na Mimi bila kuwa na Mawazo ya kishetani au la ndio maana nataka kusikia kauli za wanaume sababu naming akili na control Yao katika ngono si Kama zetu.
Kwani kaka yako kafanya nini aisee?
King'asti asante kwa jibu mpenzi wangu ila napenda kusikia majibu ya kaka zetu.Mimi pia naweza kulala na kakangu na nisihisi kitu ila labda iwe hakuna jinsi maana mimi ningempa hela alale hotel au ningelala kwa rafiki hadi aondoke