Swali kwa wanaume

Aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo ni magumu sana...

Kipindi cha kuanza balehe ni kipindi kigumu sana... na hayo mambo mpaka mzazi ujue kugundua mwanao alishafanya sana na house girl..


Cc: mahondaw
 

Kiongozi umenichekesha vibaya mnoo! Hapa kuna harufu ya dogo kupigwa bao maana akisimulia vizuri dada anavobanjuka lazima umtafute dada.
 
hii ni changamoto kali sana, wazazi tupambanie hili, tofauti na enzi zetu, baba au mama haulizi wala kusema chochote,,, this days kuna mwagonjwa kibao.....na mitandao hiii....tuongee na watoto wetu...wawe our friends, tuwe tayari kuwajibu maswali yanayowasumbua ktk kipindi cha balehe.........wajue athari za kufanya ovyo ovyo...angalau wakijaribu watumie kinga....itafikia mahali inabidi tuwaambie punyeto inasaidia pia......
 
duuh kweli maisha ni ya tofauti sana...hivi najiuliza tuu ukikuta mtoto wako wa kike wa miaka hiyo anafukukiliwa mbona inakuwaga hatari sana unakuta mtu unataka kuua mtu...wanaume sis bana...am just saying
 
watu wengi hapa naona wanacomment watamchunguza sijui, mara atamnunulia soda damn...me nafikiria hivi kama una binti yako anamiaka 10 tuseme ukakuta kuna house boy anafukua sijui tutasema maneno haya haya...nafikiria tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…