Hapo itabidi dada wa kazi nimuondoe.Habarini!! I hope mko poa.
Nina swali haswa kwa wanaume, ila kina mama/dada pia mnaweza changia.
Humu kuna threads kibao waliojifunza mapenzi/kujamiiana kwa wadada wa kazi nyumbani, wengine mlianza mkiwa wadogo sana. Mila yetu kiAfrika tunaona kama huo ndio uanaume ila damage ni kubwa sana. Kuna comment zingine mtu anaandika umri aliozini kwa mara ya kwanza na dada, kiukweli, baadhi yenu mlikuwa abused, maana si kitu cha kufagilia kwasababu kwa umri uliokuwa nao, dada ndio alikuwa mtu mzima na wewe ndio ulikuwa mtoto. Usikute somewhere out there, yule dada aliondoka na uja uzito wako bila wewe kujua umefanya nini.
Swali langu ni, je ukijua leo hii, dada wa kazi anazini na mtoto wako wa kiume, utachukua hatua gani? vuta fikra mtoto wako wa kiume yuko chini ya umri wa miaka 10 na mwingine miaka 10-17.
Unamuelimishaje mtoto wa kiume? Hii karne imeharibika sana, malezi yetu na watoto wa leo ni vitu viwili tofauti.
Utamdakia chozi house girl wewe(akishafanywa single maza) 😀😀Miaka 17 na kuendelea muache achape kazi kwa kwenda mbereee!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Miaka 17 na kuendelea muache achape kazi kwa kwenda mbereee!
Magonjwa je??Kwanza kabisa nitambana dada wa kazi athibitishe kama kweli dogo anamkaza,
Akinithibitishia kuwa dogo anamkaza, nambana tena anieleze ni jinsi gani dogo anatawala mchezo
Akinieleza dogo yupo vizuri najua kuwa nina jembe, namchukua dogo nampeleka kiwanja tunaenda kujirusha, maana siku hizi wanaume wa Dar wamekuwa wengi
Ila namsihi dogo awe makini
Ni kweli kabisaHapo itabidi dada wa kazi nimuondoe.
Mtoto itabidi afundishwe athari za hiyo tabia kama hakufundishwa awali.Tabia/Mienendo ya watoto inatokana na mambo mengi japo.kama mwanao anakuona humpendi ni ngumu kukusikiliza ...
Wazazi inabidi tujitahidi kuwa zaidi ya marafiki wa watoto wetu, wawe huru kutuambia lolote na sisi tuwe karibu yao pia.
na ngoma juuMiaka 17 na kuendelea muache achape kazi kwa kwenda mbereee!
Nimeongelea watoto wa kiume kwasababu jamii inawasahau, kwa mfano huu ni mwezi wa wanawake, kuna siku maalum ya mtoto wa kike wa kiafrika haimaanishi mtoto wa kiume nae hayuko hatarini na matatizo katika jamii yetu.Mtoa post mbona umeongelea upande mmoja! Je vp kuhusu ukisikia mtoto wako was kike anachezea mpini na houseboy imekaaje iyo kitu ni nzuri au tamu
Sent using Jamii Forums mobile app