Swali kwa wanaume wafupi...

Status
Not open for further replies.
Acha zako wewe,,,,,,,,,,ungekuwa jirani ningekukata makofi kwa kutujumuisha wafupi wote wakati ni tatizo la huyo mmoja.

hahahaha, mie nakupenda hivyo hivyo katavi na ufupi wako.
 

huu ndio nini sasa?? , hadithi yako inatufundisha nini sasa? Ujinga mtupu
 
Mbona shakhrul khan ni mfupi lkn ni king of love stories madem kibao wanamkubali,hata dem wako anamtamani..insue cyo ufupi insue ni tittle,make tittle uone madem watakavyokumiminikia,u ulimaanisha ufupi wa aina gani,mmh?
 
mapenzi saanyingine ni kama maigizo hayana formula . kuwa na mbwembwe au pozi za ajabuajabu ktk mahusiano hakutabiriki. haijalishi mtu awe mfupi au mrefu ni hulka ya mtu mwenyewe, jambo la msingi ni kuomba Mungu upate ubavu wako! wawezakuwa unang'ang'ana na ubavu wa mwenzako mwishowe ukaambulia kulalama tuuuuu. JESUS is a WAY towards a right partner.
 
Wanaume ukataliwa sana na wanawake hivo hawajiamini. Na ndio sababu ni wajeuri
 
Hapa JF siyo bure. Kuna namna ya makusudi kabisa ambayo inawapa promo toll men. Hii sumu ikisambaa sijui kwa sisi mashotiii kama tutatoka na wapenzi wetu out.
Mimi nilijaribu kurusha ndoano kwa Manzii moja ambaye kiukweli atukuachana sana height. Alichoniambia, eti kalale ukue ndio uje kunitongoza.
Mbona wanawake wafupi awaambiwi au mwanamke kuwa mfupi ni sawa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…