mgumu4real
Member
- Jul 5, 2013
- 11
- 4
mgumu4real naomba kwanza nikwambie hii thread yako ni sawa na kashfa kwa wanaume wafupi,hujawatendea haki kabisa,kumbuka hata wao hawakujitokeza au kujiumba wao pia wangekuwa na uwezo wa kujiumba wangejiweka warefu,kumbuka Mungu angeamua hata wewe angeweza kukuumba mwanaume mfupi sijui ungejisikiaje kuona kashafa kama hii ilhali u mfupi?kama wewe Mungu kakujaalia urefu wa haja furahi na umshukuru Muumba wako na uwaonee huruma hao wengine ambao hawakujaaliwa na sio kuwapondea kama hivyo ulivyofanya.
pili tabia za kujishaua wala hazihusiani na urefu au ufupi wa mtu,hizo tabia ulizotaja ni asili ya mtu wala hazina mahusiano na kina wala nini,tabia ya mtu imo ndani ya damu yake na sio kwenye kimo chake.Mbona wapo wanaume warefu ambao wao pia wanhisi hawapendwi na wanawake?na mbona wengi wao wana mashauzi ya kufa mtu?waswahili wanasema omba kudra na sio sura,wakati mwingine kupendwa ni nyota ya mtu na sio mwonekano wake.
Hope umenielewa mkuu.
Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana.
Hebu acheni kuchezea shilingi chooni.
Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana. Wasipopendwa wanalalamika utackia ooh mi mfupi ndo mana mademu wananikataa. Lakini wakipata bahati ya kupendwa wanaichezea. Kuna mdada amempenda sana mkaka mfupi,cha ajabu huyo kaka ndo kwanza pozi zmekuwa nyingi. Swali kwao short men labda wanataka nini? Moto au baridi? Hebu jifunzeni jamani 7bu mshajua most of girls are preffered tall men but nyie mkipendwa mnaleta pozi za ajabu. Hebu acheni kuchezea shilingi chooni.

Hata sisi tall men tunapenda tall women, wanawake wafupi taabu sana wewe chunguza tu hapo mtaani, havijatulia vinachakurachakura tu na tu vazi twa ajabu, hawaji - keep smart.
WANAWAKE WAFUPI TAABU SANA ...................!:love:
Cc. mpenzi wangu mrefu Heavean on earth .............!:love: