Mnunulie viatu shati au suti saa unyunyu then mpeleke date sehem yoyote yenye utulivu agizeni chakula kizuri baada ya apo ingieni Photoshop pigeni vipicha viwili rudini night Kali .. naimani tukio ilo hatolisaau .. usishangae izo picha akaziweka dp kuwalingishia wazee wenzie ..
Mtafutie saa kubwa za kiboss ambazo ni brand kubwa,
au za kipelelezi ya kumfurahisha mfano kupiga picha , kurekodi video na sauti, kuchukua mapigo ya moyo na kiwango cha oxygen mwilini.
Ushauri wangu kwakuwa umekuwa ukimpa utamu na utaendelea kumpa sasa fanya ivi mpatie dawa ya kisukari ukizingatia umri wake na huo utamu utakao zidi mumpatia .....