Ndoa miaka mitatu ya mwanzo ukiweza toboa ile hali ya kukinai basi utaenda nae vizuri, kipengele ni baada ya kuzaa mtoto wa pili,wanawake wengi hubadilika na wengi mvuto upungua ukiweza kuikubali hali ya mabadiliko yake basi unaweza toboa kuishi nae kwa upendo kwasababu wengi hata kujiamini kunapungua.