Swali kwa wanachuo wa RUCU-Iringa

switi

Senior Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
107
Reaction score
158
Habari zenu wanachuo mliopo likizo ya corona.
Nina wazo la kubadilisha sehemu ninayokaa ili iwe hosteli ni mtaa karibu na chuo kikuu cha Ruaha. Sasa nipo kwenye stage ya kukusanya taarifa mbali mbali ili nifikie maamuzi. Nina swali kwa wateja wangu watarajiwa.
1.Kitu gani/huduma gani zinakufanya/kukuvutia mpaka unaamua kukaa nje ya eneo la chuo/ off campus?
2. Kati ya kupanga chumba kitupu na kupanga hostel(chumba chenye kitanda double-deka na godoro) ambavyo viko nje ya eneo la chuo kipi ni bora kwako na kwanini?
Nb: maswali yanaweza jibiwa na mwanachuo toka chuo chochote kile ambaye mazingira yake yanafanana na ya RUCU!
Asanteni.
 
We anzisha tu huduma. Patajaa ASAP
 
Unaotosha kuanzisha biashara/mradi wowote! Umri unahusiana nini kwenye hili?
a.k.a kihesa kilolo, kichangani, gangilonga, Mtwivila hahahahahahahahahaaaaa iringa moja hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…