Sasa mtani nafanyaje mfano hapo??? em nipe maujanja
Kuna wanaume wapu.mbavu sana..!
Hehe!,......mzima lakini?!
Hicho kicheko lazima kina mshindo mwingi. Mimi mzima, habari za masiku??
Kwa hiyo utaona bado anakujali kwa kukupa nauli ya taxi? Na kwa maana hiyo hasira zitapungua ama?
Mimi kama mke wa ndoa baada ya utambulisho ningempa mume mkono na kumwambia Glad to know you kisha nauchuna kimya kama siyo mimi vile.
Unachosema ni sahihi kabisa, tatizo linakuja katika utekelezaji wake tu. Kwanza ni busara kutofanya vurugu mbele za watu, lakini swali ni je utaweza kuvumilia hadi mfike nyumbani?
Si mpaka uwe na huo ujasiri.
I just imagine watu mna usafiri lakini third party ndio anafaidi matunda ya kazi yenu, wewe kama mke unaiona gari lakini huenjoy kitu..
Mimi ningewaambia hebu shuken kwanza narekebisha gar kidgo...wakishuka naondoa gar speed kinoma hadi nyumban kwangu,wife akija najikausha kabisa kuwa siyo mimi na akiuliza ninammind aache wenge....ni afadhal nife na tai shingon kuliko kukiri maana nae atachepuka