ananijibu eti asipofanya hivyo mimi nitaona wengine waliofanya hivyo watanivutia.!Hii ni kweli?
Kuna msemo unaosema "miruzi mingi humpoteza mbwa"Nyie akina dada/mama mlioolewa hivi kuna haja sana ya kujipodoa kama mabinti ambao hawajaolewa.Sisemi msiwe nadhifu lakini mimi huwa namchallenge mke wangu anapokuwa anahangaika kwenda saloon.
Kuhangaika na kioo chumbani asubuhi akijiandaa kwenda kwenye shughuli zake.Huwa namwambia mimi nakupenda hata usipovaa hizo nywele bandia na madoido mengine,sasa hayo unayoweka unataka nani akuone tena huko nje.
Urembo kwa wanawake huwa ni kwa ajili ya kumfurahisha/kumvutia nani.Wanawake wenzenu au wanaume.Huwa ananijibu eti asipofanya hivyo mimi nitaona wengine waliofanya hivyo watanivutia.Hii ni kweli.
Kuna msemo unaosema "miruzi mingi humpoteza mbwa"Kiukweli tunawafadhaisha muno wadada/wamama mpaka wanashindwa kuelewa ni nini haswa wanaume tunapenda.Humu jf mara nyingi zimewekwa mada zinazohusu wanawake kujisahau pindi wanapoolewa,wakijitahidi kujiweka vizuri,tunawauliza unapendeza kwa ajili ya nani.Ngoja niseme hivi wanaume wenye wivu jitahidini kubadilika,mke wako hata asipojirembavicheche wakimtaka watamchukua.Tuwape uhuru wake zetu kama sisi wanavyotuacha hurukila mmoja azingatie wajibu wa kujilinda akijua afya yake si yake tu bali inamhusu na mwenzi wake.
Kuna msemo unaosema "miruzi mingi humpoteza mbwa"
Kiukweli tunawafadhaisha muno wadada/wamama mpaka wanashindwa kuelewa
ni nini haswa wanaume tunapenda.
Humu jf mara nyingi zimewekwa mada zinazohusu wanawake kujisahau pindi wanapoolewa,
wakijitahidi kujiweka vizuri,tunawauliza unapendeza kwa ajili ya nani.
Ngoja niseme hivi wanaume wenye wivu jitahidini kubadilika,mke wako hata asipojiremba
vicheche wakimtaka watamchukua.
Tuwape uhuru wake zetu kama sisi wanavyotuacha huru
kila mmoja azingatie wajibu wa kujilinda akijua afya
yake si yake tu bali inamhusu na mwenzi wake.