Swali kwa waliooa

Werrason

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
13,692
Reaction score
41,138
Naomba waliooa na kuolewa pia mnakaribishwa kushare experience zenu, bila kusahau wadau ambao ni single si vibaya tukapata maoni yao.

Hivi wanaume mliooa, mlioa wachumba/wanawake mliowapenda(bila kujali sana tabia)? au mlioa wanawake sahihi(mwenye tabia njema,mama, msikivu, mvumilivu,mcha Mungu n.k) ila upendo "0" au kidogo?

Nawasilisha
 
Reactions: PNC
Hizi thread zingne sijui mnapost mkiwa na mihangover
 
HAhhaaa.. UPendo 0 halafu akubali kuolewa nawewe na anatabia njema zote?
 
Ndoa ni mkataba wa maisha ambao haupaswi kufanya kosa kuusaini.Sifa za mume/mke bora zipo wazi!
 
HAhhaaa.. UPendo 0 halafu akubali kuolewa nawewe na anatabia njema zote?

Ni hivi Rubi unakuta sehemu unayoishi kuna familia yenye mabinti wenye maadili,sasa unakuta unaempenda hana sifa za kuwa wife au anakuzingua,je si sahihi kuchukua huyo binti mwadilifu na mkajenga familia?
 
Last edited by a moderator:
Lengo lako ni nini?

Naona mtu umpendae inapotokea kutoelewana mambo hayaendi,ndipo nikawaza kama baadhi ya wazazi walichaguliwa wake ambao walikuwa sahihi(wife material) na wakaishi kwa amani ina maana hapa ndoa haiendeshwi kwa hisia.
 
Kwanza upendo then unangalia tabia

Tatizo mkuu Boanerge ni hili la ndoa za siku hizi mbona hazidumu kama wanaoana wanaopendana! Ukilinganisha na waliokuwa wanaambiwa nenda kwa mzee 'x' au 'y' kuna mabinti waadilifu?
 
Last edited by a moderator:
Ni hivi Rubi unakuta sehemu unayoishi kuna familia yenye mabinti wenye maadili,sasa unakuta unaempenda hana sifa za kuwa wife au anakuzingua,je si sahihi kuchukua huyo binti mwadilifu na mkajenga familia?

Fuata moyo wako na si jf. Atayeona anakufaa mbebe huyohuyo!
 
Last edited by a moderator:
Tumeoa bila vigezo ukitafuta vigezo hutopata wa kuoa just learn to love
 
Tatizo mkuu Boanerge ni hili la ndoa za siku hizi mbona hazidumu kama wanaoana wanaopendana! Ukilinganisha na waliokuwa wanaambiwa nenda kwa mzee 'x' au 'y' kuna mabinti waadilifu?

Hiyo inakuja baada ya kukata tamaa au kukosa wakuwa naye so inabidi sasa uangalie tabia lkn na mvuto wa huyo muhusika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…