Swali kwa walio kwenye mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,710
Reaction score
63,393
Je ni sahihi kwa mwanaume kumpeleka mpenzi wake nyumba ya kulala wageni au hotelini,iwapo huyo mpenziwe ana uwezo mkubwa wa ku-squirt?Kama jibu ni ndiyo,mashuka yakilowana huwa mnafanyaje?
 
Hahaa, angalau kule Twitter huwa unashusha nondo. Au Equation x wa humu ni tofauti na yule wa Twitter mkuu.
Atakuwa ni mwingine mkuu;pia kutoa mada ngumu(nondo) inahitaji kujitoa hasa kwenye kusoma na kufanya utafiti,kwa hiyo rasilimali fedha ni muhimu zaidi.
 
Je ni sahihi kwa mwanaume kumpeleka mpenzi wake nyumba ya kulala wageni au hotelini,iwapo huyo mpenziwe ana uwezo mkubwa wa ku-squirt?Kama jibu ni ndiyo,mashuka yakilowana huwa mnafanyaje?
Ukishalipia ya shuka hayakuhusu
 
Je ni sahihi kwa mwanaume kumpeleka mpenzi wake nyumba ya kulala wageni au hotelini,iwapo huyo mpenziwe ana uwezo mkubwa wa ku-squirt?Kama jibu ni ndiyo,mashuka yakilowana huwa mnafanyaje?
Nadhani wanaweka ndoo karibu mpaka ikatike kwa maana ipo kama mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…