Keeper ana muda wake wa kukaa na mpira na atacheza na huo mpira anavyopenda ili mradi kwake ni salama na anafuta sheria za soka.Wakuu Mimi sio mpenzi wa mpira wa miguu,
Ila imetokea tu sasahivi nipo mahali natuliza akili then kwenye screen kuna game ya KAGERA vs SIMBA,
SASA NAWAONA MAKIPA KILA WAKIDAKA MPIRA HUPIGA MOVEMENT YA KWENDA NAO HADI CHINI(wanalala nao)
Sasa naomba kuuliza je, ni machejo tu ya makipa, ni mikogo tu?
Au hii ipo kwenye sheria za soka?
Manake kuna nyakati unaona ameudaka vizuri tu na wala hakuna ulazima wa kulala nao,
Sasa najiuliza ivi kuna sheria yoyote labda ambayo inam-favor kipa aliyelala na mpira na pengine labda angeudaka akasimama nao tu hiyo sheria isingefanya kazi???
Naomba niishie hapa
Ah, nimeona alizungukwa na adui kama 3 hivi, na wakati mwingine ni mpira wa kona.. Sa nnachotaka kujua, je kuna uwezekano wa kipa kupokonywa mpira ingawa ameudaka na sababu ikawa amesimama nao?Keeper ana muda wake wa kukaa na mpira na atacheza na huo mpira anavyopenda ili mradi kwake ni salama na anafuta sheria za soka.
Hiyo ya kudaka na kulala nao kama zone yake iko safe yaani salama hakuna shida ni mitindo tu kama vile wachezaji kupiga mpira na kisigino.
Akiwa amesimama nao mpira na ukaupiga na kichwa na ukamtoka mikononi na kufunga ni goli ndiyo maana makipa wengi wanapenda kulala ni salama kwako.Ah, nimeona alizungukwa na adui kama 3 hivi, na wakati mwingine ni mpira wa kona.. Sa nnachotaka kujua, je kuna uwezekano wa kipa kupokonywa mpira ingawa ameudaka na sababu ikawa amesimama nao?