swali kwa TCU

swali kwa TCU

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Ni cifa zipi za mwanafunz kuchaguliwa chuo kiku kwan mwanafunzi mwenye dv1.8 dv1.9 au dv2.10 hawajachaguliwa hivyo hawana sifa je ni cifa gani zinatakiwa??
 
Alokwambia nani kama hawachaguliwi. Tatizo mtu ni kuingia katika course zenye competition kubwa lazima utemwe maana kuna wenzio wana 1.3 kama wewe una 1.8.
 
Io competition cjaelewa cz kuna watu wenye izo grade wao wamechaguliwa lkn wengne hawajachaguliwa myb kna cifa ni zp izo??
 
TCU wame cema kuna watu awana cifa ambao awajachaguliwa

Kna watu wana 2.10 wamechaguliwa lkn kna watu hata wenye 1.8 awajachaguliwa kwakukosa cifa . Wamecema amabao awajachaguliwa hawana cifa
 
Back
Top Bottom