● kutokana na hali inayoendelea sasa hivi nchini ya ku register blog na online content streamer
Ambapo kama sikosei kodi yake ni mill 2 kwa mwaka. (Kwa jinsi nlivyo ona kwenye mahabari)
Swali:
1. je kuna technologia duniani ambayo inaweza kuwasaidia TCRA kumjua nani anahost blog ,web au app flan ?
Mfano mm n millardayo naish marekani ila na app yangu ipo tanzania japo naiendesha nikiwa marekani.
Naomba kueleweshwa hapa na wataalam maana kwa uelewa wangu mdogo mm nafaham hizi blog sijui kama kuna njia ya kuzizuia