Swali kwa nafasi za kazi PCCB

Msela Baharia

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
733
1,027
Habari za mda huu wadau,swali langu ni kuhusu nafasi za ajira zilizotangazwa hivi karibu na pccb wanasema wanahitaji certified certificate sasa najiuliza nitacertify vipi wakati nawatumia soft copies online direct? Na kuhusu kutuma kupitia njia ya posta wamekataa,
Naombeni msaada kwenye hilo swali langu
 
Unacertify zen unascan jombaa afu ndo unatuma online kuna sehem ya kuattach hizo certified documents jombaaa
 
Means vyeti original nivitoe copy alaf nipeleke Mahakamani wakapge muhuri alaf hyo copy ndo niiscan alaf niwatumie? Maana cheti original huwez kwenda kukupga muhuri
 
Back
Top Bottom