Bikra ni bora kuliko mboni ya jicho???mambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
Hv bado ipo?mambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
Bikra....!!? labda ya mtandao pendwamambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
Kwani unapanda kwenda kujamiiana??mambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
mambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
Bikra!!???, labda ya pua maana nahisi hata ya mtandao pendwa tayar haipomambo ya kupanda kwenye paa tena? nije nitoke bikra yangu bure kisa gb za bure hapana
Sasa kwa akili ya kibiashara nilitegemea wangefunga strong booster hapa dar es salaam kwamba hata ukiwa chini ya maji 4g unaipata fresh mbona mitandao iliyokuja juzi tu wako vizuri kuliko wao wa miaka 50?Maeneo yote ya Ubungo buguruni kimara mbezi manzese mabibo kigogo kko temeke keko mbagala kurasini magomeni kinondoni mwenge tegeta mtandao uko poa tuuu.
Juzi nilikuwa nakula pasaka kitunda nilikutana na scenario kama iyo mkuu
Wape mda kaka ...huduma zao ziko vzur ndio wameanza kujitanuaSasa kwa akili ya kibiashara nilitegemea wangefunga strong booster hapa dar es salaam kwamba hata ukiwa chini ya maji 4g unaipata fresh mbona mitandao iliyokuja juzi tu wako vizuri kuliko wao wa miaka 50?
Mambo vipi wana jf...
Nimeamua kuwa mzalendo kwa kusapot kampuni mama ya simu TTCL...
Nataka kutumia lain zao za simu kwa data na voice
Sasa swali langu kwao ni kwamba waniambie niamie mtaa gani hapa dar es salaam ambako naweza kuenjoy 4G yao vizuri....
Kwa sasa naishi goba mwisho na cha ajabu nimeweka line yao hata network bar moja hakuna...
Nikipanda juu ya nyumba kinaongezeka kimoja then nikishuka kinakata.
Niko tayari kuingia gharama za kuhama endapo wataniambia nikiamia mtaa flan au sehemu flan huduma zao nitazipata vizuri
Siwezi kuuliza hili swali kwa mitandao mingine kwa sababu kila mtu anajua 4g zao zinavyopatikana sehemu kubwa dar es salaam
Nawasilisha
Nakubaliana na ww asilimia mia ila i think walitakiwa kuweka nguvu kwenye mikoa mikubwa kwanza then tuwape muda kwenye mikoa midogo sasa kama dar network inasumbua 4g hakuna je uko kwetu mkuranga kuna kitu kweli?Ndio wameanza wapeni mda kuweka BTS ni guarana hata hao wengine walianza mdogo mdogo ukiondoa halotel ......ttcl wanatumia hela wanazokusanya kwenye biashara ya fixed network kufanya investment kwenye mobile ila mtandao wao kwa kweli uko vzur balaa mwanza huku mitandao mingine nmetupa kule mana ni wizi mtupu..ttcl lile bando letu la toboa kuanzia saa sita ucku 10GB kwa buku mnatufanya hatulali ucku kucha ni kudownload movie....tuwape mda
Kaka, do not try this at home. Wanabadilika hawa, waweze amin mahali baada ya mda wakazi wakaongezeka, wasiboreshe huduma then data na voice ikawa changamoto. Wewe usiamie mahali kufuata mtandao, angalia mtandao gani wafaa hapo uamie huo mtandao.
Sasa kama bado kwa mkoa wa dar es saalam what about huko iringa? Ndio maana nilisema walitakiwa kuweka plan ya kuchukua mikoa yote mikubwa kwanza.... wakifunga strong 4g mikoa 5 tu watakuwa vizuri ila ndio hivyo tenaWana huduma nzuri lakini coverage yao bado sana