Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Hilo la bei ya umeme wameshalitolea msimamo;wameipinga kwa madai kwamba itaongeza gharama za maisha
kwa nini uwaulize wote kwa pamoja ,,ungeuliza mmoja tu ..
Kasome ilani ya chadema 2010 utapata majibu yako ya umeme, unavyoonekana mzembe utasema hata ilani haujui pa kuiona, uende kwenye web ya chadema utaikuta.Hilo vazi nawaachia wenyewe
3. Nini msimamo wako kuhusu posho za vikao kwa wabunge?Heshima zenu wakuu,
Poleni sana na msiba wa dada yetu na rafiki yetu Regia, mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu ya kurudi kwenye majukumu yenu ya kila siku, amen.
Nina maswali mawili kwenu na ningeomba majibu kutoka kwa kila mmoja wenu na kwa kina, ningeweza kuwatumia PM lakini nimeona ni bora mkayatoa hapa barazani ili kila mtu ajue msimamo, mawazo na maoni yenu, Zitto kama kiongozi kijana na Dr. Slaa kama kiongozi mtu mzima.
1. Nini maoni, mtizamo na msimamo wako juu ya ongezeko la bei ya umeme?
2. Nini maoni, mtizamo na msimamo wako juu ya vazi la taifa?
Natanguliza shukrani.
Sr. Magdalena
Heshima zenu wakuu,

jamani tuulize maswali ya msingi chadema imeshatoa msimamo wao juu ya swala la umeme hata hapa jf uliwekwa pia ila labda ungemuuliza shibuda mtazamo wake juu ya umeme ungekuwa tofauti lakini co kwa dr slaa au zitto
haaa ! kweli ????Vazi la taifa tayari chadema wanalo, ni magwanda; nchi ipo vitani kupambana na mafisadi; baada ya hapo ndio nchi ikae chini kufikiria batiki na vitenge;
3. Nini msimamo wako kuhusu posho za vikao kwa wabunge?