Swali kuhusu vyeti

aminimganga

Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
21
Reaction score
14
Jamani nauliza kuna jamaa yangu akusoma diploma akafanikiwa kujiunga Barchelor sasa yuko mwaka wa tatu ila chuo chake kilitoka kwenye orodha ya kusitishiwa udahili je anaweza kuathirika kwenye barchelor yake maana wale ambao walikuwa hawajaomba wakivyojaribu kuomba wanaambiwa matokeo yake hayaonekani nacte
 
Yupo ok awe na amani
 
Kama yeye alimaliza kabla Chuo kusitishiwa udahili hakuna shida awe na utulivu na atafute kazi kwa bidiii zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…