shambaraha
Senior Member
- Dec 24, 2014
- 109
- 17
kwataarifa tu nikua chadema wanataka lazima mgombea urais atoke kwao na c vinginevyomcubic
Mtajitahidi sana kuleta propaganda zenu lkn hamtaweza kujua siri iliyoko kwenye ukawa.Ukawa wakipewa ridhaa watafuta katiba iliyopo na kuunda ya Warioba waliyoikataa CCM.
kwataarifa tu nikua chadema wanataka lazima mgombea urais atoke kwao na c vinginevyo