Jamani wana hukwaa na swali , muajiliwa wa miezi mitatu sasa katika shirika imara( kama serikali) lakini nikiangalia kwenye mtandao wa nssf online naona sijachangia chochote ! Angali nimekua nikikatwa pesa kwa miezi mitatu sasa.
Kiufupi nimeregister lakin kuna password inatumwa kwenye email au SMS lakin haiji ,na nikitaka kuregister tena wanasema already registered ,kulogin password ndio sijui ..
Jamani wana hukwaa na swali , muajiliwa wa miezi mitatu sasa katika shirika imara( kama serikali) lakini nikiangalia kwenye mtandao wa nssf online naona sijachangia chochote ! Angali nimekua nikikatwa pesa kwa miezi mitatu sasa. View attachment 1872155
Kiufupi nimeregister lakin kuna password inatumwa kwenye email au SMS lakin haiji ,na nikitaka kuregister tena wanasema already registered ,kulogin password ndio sijui ..