pastor muyamba JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 252 Reaction score 135 Nov 17, 2016 #1 Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ?
K kuroiler Member Joined Jul 5, 2015 Posts 50 Reaction score 24 Nov 17, 2016 #2 Hahaha mbegu mda wote zikitoka kiwandani (korodani) zinakua zimeshakomaa
Erickjr JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 994 Reaction score 788 Nov 17, 2016 #3 Miaka 7 Na Nusu Zinakua Zimekomaa....Polee!!
Mwanamalundi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 3,125 Reaction score 1,437 Nov 17, 2016 #4 pastor muyamba said: Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ? Click to expand... Siku tatu au mbili hivi inatosha.
pastor muyamba said: Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ? Click to expand... Siku tatu au mbili hivi inatosha.
pastor muyamba JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 252 Reaction score 135 Nov 17, 2016 Thread starter #5 Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 17, 2016 #6 siku tano
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,158 Reaction score 1,873 Nov 17, 2016 #7 Kwa huo uandishi inaonekana akili tayari zimeshahamia chini
B Barbra JF-Expert Member Joined Oct 19, 2016 Posts 1,046 Reaction score 953 Nov 17, 2016 #8 Kila baada ya masaa 8 uwe unafanya kwa interval hiyo
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,939 Reaction score 10,823 Nov 17, 2016 #9 zinakomaa baada ya miaka 70, muombe Mungu ufike ila kama umeoa, mwambie mkeo anitatfe maana wewe unasubili zikomae.
zinakomaa baada ya miaka 70, muombe Mungu ufike ila kama umeoa, mwambie mkeo anitatfe maana wewe unasubili zikomae.
Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,613 Reaction score 17,638 Nov 17, 2016 #10 Ngoja walio kuelewa Pastor waendelee
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Nov 17, 2016 #11 Ukikua utajua zinakooma pind ukiona chura ....na lazima wallet iwe safi otherwise mbegu zinakuwa zimeoza hta kipiga salut haziwez na zinatoka mwendo wa airtz sio mwendo wa emirates.
Ukikua utajua zinakooma pind ukiona chura ....na lazima wallet iwe safi otherwise mbegu zinakuwa zimeoza hta kipiga salut haziwez na zinatoka mwendo wa airtz sio mwendo wa emirates.
The dream JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 999 Reaction score 997 Nov 17, 2016 #12 Cc: scorpio mi
spinderella JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,393 Reaction score 1,905 Nov 17, 2016 #13 pastor muyamba said: Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ? Click to expand... Kianzia siku ya 12- 16 toka siku ya kwanza ya hedhi
pastor muyamba said: Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ? Click to expand... Kianzia siku ya 12- 16 toka siku ya kwanza ya hedhi
spinderella JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,393 Reaction score 1,905 Nov 17, 2016 #14 pastor muyamba said: Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ? Click to expand... 24 hrs. So mnakutana leo, kesho mnapumzika (on alternate days).
pastor muyamba said: Mbegu zakiume hukomaa kwa muda gani ? Click to expand... 24 hrs. So mnakutana leo, kesho mnapumzika (on alternate days).
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 Nov 17, 2016 #15 Aisee hicho kichwa cha habari mkuu 😀
Erickjr JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 994 Reaction score 788 Nov 17, 2016 #16 ICHANA said: Ukikua utajua zinakooma pind ukiona chura ....na lazima wallet iwe safi otherwise mbegu zinakuwa zimeoza hta kipiga salut haziwez na zinatoka mwendo wa airtz sio mwendo wa emirates. Click to expand...
ICHANA said: Ukikua utajua zinakooma pind ukiona chura ....na lazima wallet iwe safi otherwise mbegu zinakuwa zimeoza hta kipiga salut haziwez na zinatoka mwendo wa airtz sio mwendo wa emirates. Click to expand...
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 2,071 Reaction score 1,317 Nov 17, 2016 #17 Real One said: Kwa huo uandishi inaonekana akili tayari zimeshahamia chini Click to expand... hahahahaaaaaaa anawaza kwa kutumia kichwa chenye jicho moja
Real One said: Kwa huo uandishi inaonekana akili tayari zimeshahamia chini Click to expand... hahahahaaaaaaa anawaza kwa kutumia kichwa chenye jicho moja
Hatakama Member Joined Aug 13, 2015 Posts 91 Reaction score 117 Nov 17, 2016 #18 pastor muyamba said: Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ? Click to expand... Siku hiyo hiyo anapopigwa show ya ukweli
pastor muyamba said: Mimba hutungwa Siku gan baada ya kutoka kwenye cku zake ? Click to expand... Siku hiyo hiyo anapopigwa show ya ukweli
N ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,708 Reaction score 57,215 Nov 17, 2016 #19 Post hii ilifaa iwekwe jukwaa la doctors.
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Nov 17, 2016 #20 Haha PASTOR buana...