swali kuhusu E-bay

swali kuhusu E-bay

mawazomgala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
342
Reaction score
212
jamani aliyewahi kuagiza mzigo kutoka ebay mzigo ukifika unaenda kuchukulia wapi, msaada wakuu maana hii ni mara yangu ya kwanza.
 
Wao watakupa tracking namba ya kampuni ya usafirishaji waliotumia,kama UPS au FEDEX kisha uta track we mwenyewe kwa kutumia simu yako,ukiona umeingia utaenda ofisini kwao kuchukua,au ukifika watakupigia simu uende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani aliyewahi kuagiza mzigo kutoka ebay mzigo ukifika unaenda kuchukulia wapi, msaada wakuu maana hii ni mara yangu ya kwanza.
Kuna Sehemu unaweka Address yako ya Posta na Pia Kuna Sehemu unachagua Shipping agent unayetaka kama Ni Fedex au DHL kwahiyo wao mdo watakutafuta wakishapata mzigo wako

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Kwanza unatakiwa uwe na anuani yako kamili, hapa inategemea aina ya anuani unayotumia. Kuna baadhi ya anuani mfano P.O BOX huwa zinakataliwa kutumwa mzigo kwa anuani ya aina hiyo. Hapo ndipo unakiwa kutafuta agent anayeweza kukufikishia mzigo wako kwa anuani yako ambayo E Bay hawataweza.
 
Kuna Sehemu unaweka Address yako ya Posta na Pia Kuna Sehemu unachagua Shipping agent unayetaka kama Ni Fedex au DHL kwahiyo wao mdo watakutafuta wakishapata mzigo wako

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
Ipi ni bora kati ya hizo mbili? Kama mzigo unatoka Alibaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida mzigo utatumwa kwenye anuani ya posta utakayoweka (p.o. box) Mara chache baadhi ya wauzaji wanatuma kwa DHL au FEDEX. Ofisi zao zipo ila sina uhakika kama zipo kila mkoa.

Mzigo utakuja kama ulivyouona kwenye picha ila ni muhimu sana usome vizuri maelezo kabla hujaagiza mzigo ili usije ukawa unataka kitu kipya ukanunua used. Vitu kama simu pia lazma usome kama iko locked n.k

Kumbuka mzigo ukifika utatakiwa kuulipia kodi zote stahiki ambazo kwa kawaida hukaribia nusu ya bei ya mzigo.
 
Wanakata asilimia ngap mkuu mpaka iwe nusu ya bei?
Kwan hii 18% inapigwaje kwenye bei ya manunuzi au
 
Back
Top Bottom